AFYA (1) HABARI (2) UCHUMI (2)

Jumapili, 11 Septemba 2016

TETEMEKO LA ARDHI KANDA YA ZIWA


screen-shot-2016-09-10-at-5-34-55-pm








 TETEMEKO LA ARDHI LAACHA SIMANZI KUBWA 

Siku ya jumamosi ya terhe 10 august 2016 imekuwa ni siku mbaya kwa wakazi wa mikoa ya kanda ya ziwa na sehemu za jirani ya mikoa hiyo kutokana na kukumbwa na tetemeko la ardhi lililoikumba mikoa hiyo hiyo majira ya mchana. tetemeko hilo ambalo kwa mujibu wa wataalamu wa masuala ya jiolojia tanzania GST imegungungulika kuwa tetemeko hilo lilikuwa na ukubwa wa ritcher 5.7 limeathiri sana mkoa wa kagera kwa kusababisha  takribani watu kumi na tatu 13 kupoteza maisha na majeruhi zaidi ya mia mbili.
 

kwa mujibu wa mtendaji mkuu wa GST Prof. Mruma A. amaesema tetemeko hilo limesababishwa na mpasuko wa ardhi katika bonde la ufa magharibi karibu  na ziwa victoria 
pia ametoa wito kwa wanachi kuchukua tahadhari kwa kuktoka nje ya nyumba na kutokaa karibu na miti mikubwa wakati wa tetemeko.
                                                                                  majeruhi wa tetemeko hilo la ardhi
Image result for tetemeko la ardhi bukobabk-4







Hakuna maoni:

Chapisha Maoni