AFYA (1) HABARI (2) UCHUMI (2)

Jumapili, 11 Septemba 2016

WALIOFARIKI DUNIA KWA TETEMEKO WAAGWA

csesybawyaa75dg


WALIOFARIKI KWA TETEMEKO BUKOBA WAAGWA RASMI.

Watu wapatao 13 ambao wamefariki kutokana na tetemeko lililoikumba mikoa ya kanda ya
 ziwa hususani mkoa wa kagera leo  waagwa na mamia ya wanachi wakiongozwa na 
Waziri Mkuu Mh. Kassimu Majaliwa.

Tetemeko hilo ambalo lina ukubwa wa ritcher 5.7 linasemekana limetokana na mpasuko wa ardhi
 katika bonde la ufa wa magharibi limeathiri sana mkoa wa kagera kwa kupoteza maisha ya watu,kuwajeruhi na hata kubomoa nyumba za watu hali iliyopelekea family nyingi kukosa makazi.cserf_lwyaa27pd




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni