Jumanne, 20 Septemba 2016
Jumatatu, 12 Septemba 2016
SWALA MAALUMU YA IDDI NA WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU KASIMU MAJALIWA AONGOZA SWALA MAALUMU YA IDDI KATIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TANDIKA.
Jumapili, 11 Septemba 2016
WALIOFARIKI DUNIA KWA TETEMEKO WAAGWA
![]() | ||||||||||||||||||||
|
WALIOFARIKI KWA TETEMEKO BUKOBA WAAGWA RASMI.
Watu wapatao 13 ambao wamefariki kutokana na tetemeko
lililoikumba mikoa ya kanda ya
ziwa hususani mkoa wa kagera leo waagwa na mamia ya wanachi wakiongozwa na
Waziri
Mkuu Mh. Kassimu Majaliwa.
Tetemeko hilo ambalo lina ukubwa wa ritcher 5.7 linasemekana
limetokana na mpasuko wa ardhi
katika bonde la ufa wa magharibi limeathiri sana
mkoa wa kagera kwa kupoteza maisha ya watu,kuwajeruhi na hata kubomoa nyumba za
watu hali iliyopelekea family nyingi kukosa makazi.
![]() |
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)


