AFYA (1) HABARI (2) UCHUMI (2)

Jumatatu, 12 Septemba 2016

SWALA MAALUMU YA IDDI NA WAZIRI MKUU

 WAZIRI MKUU KASIMU MAJALIWA AONGOZA SWALA MAALUMU YA IDDI KATIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TANDIKA.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na waumini wengine wa dini ya Kiislam wakisikiliza mawaidha wakati wa swala ya Idd El Hajj katika Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke, Jijini Dar es Salaam.

Jumapili, 11 Septemba 2016

RAISI MAGUFULI KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAISI LUNGU

Image result for magufulicsfgeuawyaawj5_

UCHUMI WAKO MAISHA YAKO

Image result for currency chartComing soon..........

ASALI-DAKTARI WA NYUMBA YAKO

Coming soon.....

WALIOFARIKI DUNIA KWA TETEMEKO WAAGWA

csesybawyaa75dg


WALIOFARIKI KWA TETEMEKO BUKOBA WAAGWA RASMI.

Watu wapatao 13 ambao wamefariki kutokana na tetemeko lililoikumba mikoa ya kanda ya
 ziwa hususani mkoa wa kagera leo  waagwa na mamia ya wanachi wakiongozwa na 
Waziri Mkuu Mh. Kassimu Majaliwa.

Tetemeko hilo ambalo lina ukubwa wa ritcher 5.7 linasemekana limetokana na mpasuko wa ardhi
 katika bonde la ufa wa magharibi limeathiri sana mkoa wa kagera kwa kupoteza maisha ya watu,kuwajeruhi na hata kubomoa nyumba za watu hali iliyopelekea family nyingi kukosa makazi.cserf_lwyaa27pd




TETEMEKO LA ARDHI KANDA YA ZIWA